Sera ya Faragha

Taarifa zako za siri ni muhimu sana kwetu. Ni sera ya Y9 Microfinance Tanzania Limited kujali taarifa zozote tunazoweza kukusanya kutoka kwako kupitia tovuti yetu, Y9 Microfinance Tanzania Limited, na tovuti nyingine tunazomiliki na kuziendesha.

Tunaaomba tu taarifa binafsi wakati tunazihitaji ili kukupatia huduma. Tunazikusanya kwa njia za haki na halali, kwa ujuzi na ridhaa yako. Pia, tutakuambia kwa nini tunazikusanya na jinsi zitakavyotumika .

Tunahifadhi tu taarifa zilizokusanywa kwa muda fulani au kwa namna inavyoruhusiwa na sheria ili kukupatia huduma ulizoomba. Data tunazohifadhi, tutazilinda kulingana na ya njia zinazokubalika kisheria na kibiashara ili kuzuia upotevu, wizi, pamoja na uingiaji usioidhinishwa, ufichuaji , kunakili, matumizi au urekebishaji.

Hatushiriki taarifa zozote zinazoweza kumtambulisha mtu hadharani au na washirika wengine bila idhini yako na/au isipokuwa inapohitajika kufanya hivyo kisheria.

Tovuti yetu inaweza kukuunganisha na tovuti za nje ambazo sisi hatuzihudumii . Tafadhali fahamu kwamba hatuna udhibiti wa maudhui na namna za uendeshaji wa tovuti hizi na hatuwezi kukubali majukumu au dhima yoyote kwakuhusiana na sera zao binafsi.

Upo uhuru kukataa ombi letu la kuhitaji maelezo yako binafsi, kwa misingi kwamba huenda tukashindwa kukupatia baadhi ya huduma unazozihitaji .

Kuendelea kutumia tovuti yetu kutachukuliwa kuwa umekubali utendaji wetu binafsi na taarifa zako binafsi. Ikiwa una maswali yoyote kuhusu namna tunavyotunza data za mtumiaji na taarifa zake binafsi, tafadhali kuwa huru kuwasiliana nasi. Tupigie 0800711999.

swSW