Utaratibu wa Malipo ya Simu ya Mkononi

[229999 Y9 MICROFINANCE]

 1. Piga *150*60#
 2. Chagua namba 5 Lipa bili
 3. Chagua namba 2 Chagua kampuni
 4. Chagua # Next
 5. Chagua namba 10 Y9 Microfinance Limited
 6. Enter amount/ weka kiasi
 7. Enter reference number/ weka namba ya kumbukumbu
 8. Send 2000 TZS to Y9 Bank press 1. YES/ Chagua moja YES
 9. Send 2000 TZS to Y9 Bank at a charge 0
  1. Yes
  2. No
 10. Chagua Namba 1 (Yes)
 11. Enter pin/weka namba ya siri

[119999 Y9 MICROFINANCE]

 1. Piga *150*01#
 2. Chagua Namba 4 Lipa Bili
 3. Chagua Namba 3 – Weka Namba ya Kampuni
 4. Weka Namba ya Kampuni
 5. Weka Kumbukumbu Namba
  (Membership ID. Mfano Y9MXXXXX)
 6. Weka Kiasi
 7. Weka Namba ya Siri

[119999 Y9 MICROFINANCE]

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua Namba 4 – Lipa kwa Mpesa
 3. Chagua Namba 4 – Weka Namba ya Kampuni
 4. Weka Namba ya Kampuni
 5. Weka Kumbukumbu Namba
  (Membership ID. Mfano Y9MXXXXX)
 6. Weka Kiasi
 7. Weka Namba ya Siri
 8. Bonyeza 1 kuthibitisha malipo

Download Y9 App to get started

Make your life better by downloading the Y9 App to enjoy our digital and financial services

swSW