Taasisi Ya Kifedha Afrika

Huduma za kifedha kidijitali

Y9 is better!  ni bora!

Ulimwengu mpya wa fedha kidijitali Tanzania

Pata huduma za kifedha kidijitali

Tunatoa huduma za kifedha kwa wasio na huduma za kibenki na ufikishaji wa bima na huduma za afya
 

4G Smartphone kwa kila Mtanzania

Tunatoa 4G Smartphone kwa masharti rahisi

Y9 aims to develop the lifestyle of the people of Tanzania

Y9 inajitolea kufanya vizuri huku ikifanya jambo sahihi

Y9 ni nini?

Taasisi Ya Kifedha Inayotoa Huduma Za Kifedha Kidijitali Kiganjani Mwako ,kwa Urahisi Na Unafuu Zaidi.

Ujumuisho wa Kifedha

Jipatie huduma bora za kifedha bila kujali kipato chako

Usimamizi

Y9 inasimamiwa kikamilifu na Benki Kuu ya Tanzania

Ofa za Uanachama

Furahia faida za Uanachama wa Y9 ambao ni pamoja na vitabu vya kielektroni bure, faida za Y9 points, mikopo ya papo hapo na zaidi

Ujumuisho wa Kidijitali

Y9 inakuunganisha kwenye mfumo dijitali wa mazingira ambao hutoa mahitaji yako mahususi kwa njia rahisi

Benki ya Kidijitali

Y9 inakuwezesha kuondoa makaratasi yote kama hundi, hati za malipo, rasimu za mahitaji, na kadhalika

ESGs / SDGs

Sambamba na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, Y9 imejitolea na inalenga kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma

Jiunge, kuwa
Mwanachama leo!

Jisajili kama mwanachama
kufurahia faida nyingi za kifedha kidijitali kutoka Y9

WHY IS Y9 UNIQUE?

Watoa Huduma Wetu Wanapatikana Jumatatu Mpaka Ijumaa Saa 2 Asubuhi Mpaka Saa 2 Usiku , Na Jumamosi Saa 2 Asubuhi mpaka saa moja usiku

Ukihitaji msaada, wasiliana na watoa huduma wetu.

Watoa Huduma Wetu Wanapatikana Jumatatu Mpaka Ijumaa Saa 2 Asubuhi Mpaka Saa 2 Usiku , Na Jumamosi Saa 2 Asubuhi mpaka saa moja usiku

Ukihitaji msaada, wasiliana na watoa huduma wetu.

Hatuachi mtu nyuma sambamba na

swSW

Get registered at Y9 for device financing.